“Mwenendo wa Mtume wa Waarabu umechukua (umeshuka) akili za wafuasi wake; na haiba yake ikapanda kwao juu zaidi. Waliamini ujumbe wake kwa imani ambayo imewafanya wakubali Wahyi ulivyokuwa ukiteremka kwake. Kama ambavyo matendo yake (kama yalivyorekodiwa na Sunnah) ilikuwa ni chanzo cha kanuni. Kanuni ambazo haziishi katika kupanga maisha ya Kiislamu peke yake, bali yaliambatana vile vile na mahusiano ya Waislamu Wafunguzi (kwa nchi nyingi) na raia zao na wasio Waislamu.”