Majibu Toshelevu.

Majibu Toshelevu.
“Nimepata katika Uislamu majibu yenye kutosheleza kuhusu mas-ala tata ya roho na maada: Nikafahamu kuwa kiwiliwili kina haki kwetu kama ilivyo roho. Na kuwa mahitaji ya kiwiliwili katika mtazamo wa Uislamu ni silika asilia ambazo zinapaswa kushibishwa ili mwanadamu aishi akiwa ni mwenye nguvu na mwenye uwezo wa kuzalisha.


Tags: