Itikadi Nyepesi

Itikadi Nyepesi
“Itikadi ya Kiislamu ni itikadi moja ambayo ni nyepesi ambayo imani inakata nayo njia ya kila mwenye hofu na babaiko, na kufufua utulivu katika kila nafasi. Mlango wa akida hii upo wazi kwa mwanadamu yeyote. Haufungiwi dhidi ya yoyote (kuzuiwa kuingia) kwa sababu ya jinsia au rangi yake. Hivyo basi kila mtu hupata nafasi yake chini ya kivuli cha itikadi ya Mungu kwa misingi ya usawa na uadilifu ambao haimfadhilishi yoyote pamoja nayo ila kwa ucha-Mungu. Ucha-Mungu kwa Allah Mola wa Walimwengu.”


Tags: