6089
“Hadi hivi sasa kubwa iliyoumbuliwa ni VY Canis Majoris iko mbali nasi kwa masafa ya miaka elfu tano ya mwanga na ni kubwa kuliko jua kwa 9,261, 000,000 yaani 9 Bilioni na mara 261 milioni!! Na jua ni kubwa kuliko ardhi yetu kwa mara 1,300,000.