- Dalili ya Furaha
“Sikujua furaha hapo kabla. Tokea nianze kusoma Qur-aan nami nilijiuliza hali ninashangaa, kwanini watu wanakwenda bila muongozo kwenye dunia hii hali ya kuwa dalili na mwanga ipo mbele yao.”?!
- Amani ya Ulimwengu.
“Taarifa ya Qur-aan kuhusu Muumba wa Ulimwengu ilinitingisha: Nimeufahamu Uislamu kupitia Qur-aan, na sio katika matendo ya Waislamu. Enyi Waislamu kuweni Waislamu wa kweli ili Uislamu uweze kuenea ulimwengu. Kwani huo ni amani kwa ulimwengu wote.”