“Magharibi kwa sasa wana haja ya Uislamu kuliko muda wowote uliopita ili kuyapa maisha maana na historia ina makusudio yake, hadi Wamagharibi waweze kubadili tabia yao ya kutenganisha kati ya elimu na imani. Uislamu hauweki kizuizi kati ya elimu na imani, bali kinyume chake unaunganisha baina yake kwa kuzingatia kuwa hizo ni umoja kilichokamilika kisichokubali kugawanyika. Kama ambavyo inawezekana kwa Uislamu kurejesha uhai wa matarajio ya jamii yetu mpya iliyoathirika na upweke (ubinafsi) wa njia ambayo inaupeleka ulimwengu kwa ujumla wake kuanguka.”