- Wahi Pamoja na Wasafiri
“Kuenea kwa Uislamu ni alama miongoni mwa alama zake kwenye mapito ya historia: Na hilo ni sababu hiyo ni dini ya maumbile iliyoshushwa katika moyo wa aliyechaguliwa (Mustafa).”
- Mradi wa Milele
“Uislamu ni maisha mbadala wa mradi wa milele usiooza (wala usioisha ubora wake). Na wanapouona baadhi ya watu kuwa ni wa zamani, basi huo ni wa sasa na vile vile wa baadae, hautenganishwi kwa nyakati wala mahali. Uislamu sio wimbi la fikra tu wala staili mpya ya mambo inayofaa kusubiri. Haiko mbali Mashariki kurudisha uongozi wa Ulimwengu kwa ustaarabu, bado ule msemo: “Mwanga utatoka Mashariki” ni msemo sahihi kabisa.”