- Hakuna Mungu ila Allah.
“Sikiza, Ee Israeli; Bwana, Mungu wetu, Bwana ndiye mmoja..” (6:4).
- Bwana Mmoja
“Wewe umeonyeshwa haya, ili upate kujua ya kuwa BWANA ndiye Mungu, hapana mwingine ila yeye” (Kumbukumbu la Torati) 4:35).
“Mimi ni BWANA, wala hapana mwingine zaidi yangu mimi hapana Mungu.” (Isaya 45:5).